Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini?Tafuteni replacement ya KIBU...
Wazee wa mikimbio tuliyajua haya hata kabla hatujafika hukuWana KMC wenzangu mtanipa matokeo ingawa simba walifungwa 5 na yanga
Hakuna kitu kinaitwa kombe la CAF, labda lile la kwenu mlilocheza na Stellah miaka ya 90 🤣🤣Fainali kombe la caf
Kipindi cha kwanza walikuwa wanacheza mpira ila baada ya kwenda vyumbani wamepewa maelekezo ya kutowafungia watu mwaka vibaya. Kipindi cha wamerudi kwa kufanya utoto tu.Na kipindi cha kwanza walikuwa wanatekeleza nini
Haha waanze kulikataa lile lao lililofanya Ubao usome mkono badala ya nne [emoji3][emoji3]Hawataki magoli ya penati