FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

Halafu unakuta mtu anaiponda Yanga dhidi ya Simba.

Yanga ni timu bhana.
 
Kocha wa makipa , fanyiwa kazi AYOUB mipira ya mbali...
anajiamini sana kiasi anachelewa kufanya reaction.....saving za karibu ni mzuri ila long kick anajisahau...
 
Imeeisha mkuu nilikuahidi mtapigwa shukuru sana hata hiyo Sare mliyopata... Waziri Jr Leo hakua na bahati ilikua awapige hattrick lakini sio mbaya Bao mbili Safi...

Sahivi Chama anachekea chooni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila Ayubu bana...
 
Back
Top Bottom