Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeeisha mkuu nilikuahidi mtapigwa shukuru sana hata hiyo Sare mliyopata... Waziri Jr Leo hakua na bahati ilikua awapige hattrick lakini sio mbaya Bao mbili Safi...Haijaisha mpaka iishe
We miso misondoBenchikha ni kocha mzuri sana very tactful
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah huu ubingwa wa mwaka huu bora wachukue azam tu wallah
Kutwa wapo busy kuishauri Yanga [emoji23][emoji23]FULL TIMEEEEEEEEEEE!
2-2!
Asanteni KMC, Well done Ayubu.
Mbona hao kupata sare ilikua iko wazi maana wote walipigwa 5 na YANGA [emoji16]Halafu unakuta mtu anaiponda Yanga dhidi ya Simba.
Yanga ni timu bhana.
Alf ndio mkawafunge ASEC kwao [emoji849]Daah huu ubingwa wa mwaka huu bora wachukue azam tu wallah
Imeeisha mkuu nilikuahidi mtapigwa shukuru sana hata hiyo Sare mliyopata... Waziri Jr Leo hakua na bahati ilikua awapige hattrick lakini sio mbaya Bao mbili Safi...
Sahivi Chama anachekea chooni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ayubu ni Bora kuliko Diarra...Ayubu the greatest
Tukutane kipindi cha 3Haijaisha mpaka iishe
Huu ndo ukweli. Nimewashangaa Sana waliokuwa wanamkebehi Manula Kwa maonyesho ya mechi 2 ya Lakred. Huyu ni Kindoki mweupe.Tofauti ya Ayubu na Kindoki ni rangi tu
Msifu Kwanza mfungaji [emoji1]Ila Ayubu bana...
No, rekodi ya uto kumsajili Kindoki haitavunjwa!Tofauti ya Ayubu na Kindoki ni rangi tu