FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

Tuondolee utetezi wa kitoto hapa. Shuti la Tepsi lilikuwa na madhara gani Mita zaidi ya 30? Huyu ni Kindoki mweupe.
Ameteleza. Ila haya magoli yanauma sana. Wachezaji hawana budi kuelewa kuwa mpira ni mchezo wa makosa hivyo ni muhimu kuzuia makosa yasitokee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…