FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

Msifu Kwanza mfungaji [emoji1]
Halafu unajua kuna nyingine ilipigwa ya mbali kidogo afanye ujinga tena.
Ile ambayo Aliitoa nje ya boksi akafanyiwa faulu.
 
Nimewaambia jana kama tumeamua kumrithisha Benchikha migogoro, tufute matumaini yote ya msimu huu, kuanzia ndani hadi kimataifa.

Kipindi cha kwanza tu cha mpira wa leo ulijua Simba haishindi hii mechi, na siyo kwa sababu hatukuwa na uwezo wa kushinda. Kwa sababu ya hii migogoro, Simba itatoka kwenye mbio za ubingwa kabla ya duru la kwanza halijaisha na itaenda kufungwa na ASEC.
 
Kipindi cha kwanza tu cha mpira wa leo ulijua Simba haishindi hii mechi. Kwa sababu ya hii migogoro, Simba itatoka kwenye mbio za ubingwa kabla ya duru la kwanza halijaisha na itaenda kufungwa na ASEC.
Una uhakika na usemayo?
 
Chama angecheza simba wangeshinda hii game.Shithole Simba
 
Pointi moja nayo muhimu kuliko kukosa kabisa ,,,,poleni bado Azam mjue !
 
Nimewaambia jana kama tumeamua kumrithisha Benchikha migogoro, tufute matumaini yote ya msimu huu, kuanzia ndani hadi kimataifa.

Kipindi cha kwanza tu cha mpira wa leo ulijua Simba haishindi hii mechi, na siyo kwa sababu hatukuwa na uwezo wa kushinda. Kwa sababu ya hii migogoro, Simba itatoka kwenye mbio za ubingwa kabla ya duru la kwanza halijaisha na itaenda kufungwa na ASEC.
Kila mkifungwa hua hamkosi sababu
 
Back
Top Bottom