ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Nliwapa tahadhariMsisahu chamazi hakuna mazindiko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nliwapa tahadhariMsisahu chamazi hakuna mazindiko
Jamaa anatembea uwanja mzima. Yaani awesu ni sawa na ngoma, kanute, na mzamiru.Yote tisa Awesu ni mtu
🤣🤣🤣 Kolowizard leo hawaamini kilichowatokea.Nliwapa tahadhari
🤣😂Nakumbuka Ahmed Ali alisema Azam FC hawawezi kuwafikia Simba
Wanabahatisha sanaEt Samweli etoo Ali sema msajiri onana[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]kiko wapi
Simba bila urozi ni wepesi sanaaa....hamna kitu kabisaaView attachment 2850565
Leo Itapigwa mechi ya ligi kuu ya Mwisho kwa Mwaka huu kwa Upande wa Simba na KMC.
Muda ni Saa 10 Jioni.
Kila la heri mnyama.
Kikosi Cha KMC Kinachoanza
View attachment 2850769
Kikosi cha Simba Kinachoanza
View attachment 2850774
Nguvumoja.
Dakika ya 32'
KMC wanapata goli la Kwanza
Kupitia kwa Waziri.
Game On.
KMC 1 - 0 Simba
HT
Bado Matokeo ni KMC 1 - 0 Simba
Kipindi cha Pili Kimeanza hapa.
Simba wamefanya Sub!
Bocco Out
Baleke Inn
Onana Out
Mzamiru Inn
Dakika 57'
Simba wanapata penalti.
Saidooo anafunga goal la kwanza.
Dakika ya 60'
Simba wanaweka mpira wavuni kupitia kwa Baleke.
Game On.
KMC 1 - 2 Simba
Dakika 88'
Waziri anaipatia KMC goli la 2.
Dakika 90'
Full Time.
KMC 2 - 2 Simba.
Leo kutakuwa na Kikao cha dharura pale Bunju,Timu ina baraza la ushauri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
hamkutaka kusikiaOle wenu leo timu itoe draw bila Chama