FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

View attachment 2850565
Leo Itapigwa mechi ya ligi kuu ya Mwisho kwa Mwaka huu kwa Upande wa Simba na KMC.

Muda ni Saa 10 Jioni.

Kila la heri mnyama.

Kikosi Cha KMC Kinachoanza
View attachment 2850769

Kikosi cha Simba Kinachoanza
View attachment 2850774
Nguvumoja.

Dakika ya 32'
KMC wanapata goli la Kwanza
Kupitia kwa Waziri.

Game On.
KMC 1 - 0 Simba

HT
Bado Matokeo ni KMC 1 - 0 Simba

Kipindi cha Pili Kimeanza hapa.
Simba wamefanya Sub!

Bocco Out
Baleke Inn
Onana Out
Mzamiru Inn

Dakika 57'
Simba wanapata penalti.
Saidooo anafunga goal la kwanza.

Dakika ya 60'
Simba wanaweka mpira wavuni kupitia kwa Baleke.

Game On.
KMC 1 - 2 Simba

Dakika 88'
Waziri anaipatia KMC goli la 2.

Dakika 90'

Full Time.
KMC 2 - 2 Simba.
Simba bila urozi ni wepesi sanaaa....hamna kitu kabisaa
 
Back
Top Bottom