FT: Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa

FT: Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa

dk 13 bila bila kila timu inashambulia
 
jaribio zuri kutoka dodoma jiji dk ya 15
 
Hivi tatizo la Simba kukosa kosa magoli linasababishwa na nini? Hasa Bocco
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hii video inayosambaa kuwa mmepulizia dawa dressing room ya Dodoma jiji.,najiuliza why kila siku ni nyinyi tu?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
anaenda kupigaa bocco ......anafungaaaaaa mojaaaa bila
 
Goool, Simba 1 - 0 Dodoma jiji. Penat ya boko
 
faulo ...eneo zuri sana wanapata simba
 
goal kick ... chama anapaisha free kick
 
Wazee wa mil 40 hamna haki ya kuongea kabisa, jana mechi nyingine mmenunua.
Sawa kama tumenunua kama kuna wauzaji nanyinyi nunueni, mi nimeuliza clip hii dressing room ya Dodoma jiji kupuliziwa dawa ni kweli?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kameta well done uko vizuri kijana ongeza bidii new Kapombe
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom