Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Hakuna upuuzi huo sisi tunashinda ndani ya uwanjaSawa kama tumenunua kama kuna wauzaji nanyinyi nunueni, mi nimeuliza clip hii dressing room ya Dodoma jiji kupuliziwa dawa ni kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna upuuzi huo sisi tunashinda ndani ya uwanjaSawa kama tumenunua kama kuna wauzaji nanyinyi nunueni, mi nimeuliza clip hii dressing room ya Dodoma jiji kupuliziwa dawa ni kweli?
Sisi hatuwezi nunua match wakati tuna watu wa viwango Kama Chama alafu tununue mechi ya dodoma jiji !!!!!Sawa kama tumenunua kama kuna wauzaji nanyinyi nunueni, mi nimeuliza clip hii dressing room ya Dodoma jiji kupuliziwa dawa ni kweli?
Yeah kwenye klos hapo ajitahidiaboreshee klosi zakee
bt kwa dk hizi 30....yuko vzuri sanaYeah kwenye klos hapo ajitahidi
Kameta huwa anapiga cross vizuri kuliko Kapombe apunguze woga ni mzuri sana kwenye kushambulia yule dogo.aboreshee klosi zakee
sema hajacheza mda mrefuKameta huwa anapiga cross vizuri kuliko Kapombe apunguze woga ni mzuri sana kwenye kushambulia yule dogo.
washaanza kusingizia kanuni zifatwee tenaa40' Dodoma Jiji wanateswa vibaya mno..Ile timu ni haki yao kukimbia
Simba SC 1-0 Dodoma Jiji FC