alafu hiyo dawa ikamwagiwa maji itoke ... akili za kitotoHii video inayosambaa kuwa mmepulizia dawa dressing room ya Dodoma jiji.,najiuliza why kila siku ni nyinyi tu?
umakiniHivi tatizo la Simba kukosa kosa magoli linasababishwa na nini? Hasa Bocco
Wazee wa mil 40 hamna haki ya kuongea kabisa, jana mechi nyingine mmenunua.Hii video inayosambaa kuwa mmepulizia dawa dressing room ya Dodoma jiji.,najiuliza why kila siku ni nyinyi tu?
Sawa kama tumenunua kama kuna wauzaji nanyinyi nunueni, mi nimeuliza clip hii dressing room ya Dodoma jiji kupuliziwa dawa ni kweli?Wazee wa mil 40 hamna haki ya kuongea kabisa, jana mechi nyingine mmenunua.
aboreshee krosi zakeeKameta well done uko vizuri kijana ongeza bidii new Kapombe