FT: Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa

dk 30 simba 1 - dodoma jiji 0
 
Sawa kama tumenunua kama kuna wauzaji nanyinyi nunueni, mi nimeuliza clip hii dressing room ya Dodoma jiji kupuliziwa dawa ni kweli?
Sisi hatuwezi nunua match wakati tuna watu wa viwango Kama Chama alafu tununue mechi ya dodoma jiji !!!!!
 
manura anapata kadi ya njano ... madai ya kupoteza mda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…