FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Azizi Ki kapenyeza pasi nzuri kea Mayele karibu na 18 oka Mayele kazidiwa nguvu na Mabeki wa River japo mpira aliuwin.
 
Siaelewa kwanini kocha kaamua kumtoa Lomalisa na kumuingiza Kibwana. Lomalisa ana offer vitu vingi sana uwanjani
 
Huyu commentetor muarabu wa being sports 4 yani muda wote namsikia akiitaja Simba tu.
 
Kwasababu kuna ongezeko la Mayele (ambaye mpaka saizi hajaonesha kiwango kizuri), Azizi Ki (naye ni mikimbio tu bado hajaonesha pengo la mwaka jana)

Na Mudathiri (so far kajitahidi) na kina Musonda na Morrison ambao wako nje?
Morrison hata kwenye benchi hayupo
 
Rivers wanashambulia sana ,jamaa namba 30 Sakini kama Schooled anapiga pasi rula ,beki za Yanga wametulia mno na kusaidia kuokoa mashambulizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…