Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 909
- 3,476
We kipusa ulitumwa kuanzisha hii thread?
Umenikumbusha huyo jamaa nimechekaHizi akili za kutafuta sare zitawaponza Yanga
Mayele naye leo kama Moringa
Azizi na Mayele wote ni Manamba wa GSMCombination ya Mayele na Azizi Ki haijaonesha impact
Walipigwa 6 hao watoto..nawe nikakutandika 2Hii rivers ilimpiga 2 wydad ww umeambulia kamoko nan yuko juu
Mbona swali jepesi sana[emoji1787][emoji1787]Akikujibu unitag.