FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Azizi Ki kakusanya pembeni mtu na kwenye boksi kwa utulivu mkubwa kisha kutoa pasi nzuri Mayele anapiga kichwa kizuri almanusura iwe goli kipa kacheza ikawa kona.
 
Mayele kakosa tena goli la wazi
Tuliambiwa kwenye nafasi 10 lazima akufunge 1

Hii ni nafasi ya ngapi?

Umeona sasa kumbe hata 6 bado hazijafika

Ebu tuwe na subra basi
 
Yanga wamebahatika kucheza na Club ambayo haina mashabiki wengi uwanjani
 
Simba ingekutana na Rivers United saizi mipango ingekuwa kwenye fainali

Hawa ndugu zetu wana bahati sana ila hawajajua tu.

Rivers United angepigwa 7 na kila mtu angesema "wamepuliziwa sumu kwenye vyumba vyao", "Rivers United wabovu"
Mkuu wewe ni wale aina ya mashabiki lialia wa timu ambao hamuelewi chochote kuhusu mbinu, mifumo n.k mnachojua ni mpira wavuni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…