Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
- Thread starter
- #381
Kona hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msubiri aibu utaiona pale CASABLANCAyanga kwa kuliaibisha taifa hapana kwa kweli
Tuliambiwa kwenye nafasi 10 lazima akufunge 1Mayele kakosa tena goli la wazi
Wanacheza sana 8 mchana kule.Mbona wanakunywa maji sana au joto kama la Sudan
Mkuu wewe ni wale aina ya mashabiki lialia wa timu ambao hamuelewi chochote kuhusu mbinu, mifumo n.k mnachojua ni mpira wavuni tuSimba ingekutana na Rivers United saizi mipango ingekuwa kwenye fainali
Hawa ndugu zetu wana bahati sana ila hawajajua tu.
Rivers United angepigwa 7 na kila mtu angesema "wamepuliziwa sumu kwenye vyumba vyao", "Rivers United wabovu"