FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Na sio tu kusonga mbele, ishu unasonga mbele kwenye upinzani gani uliokutana nao?

Yani licha ya udogo wa mashindano bado kumekuwa na timu ambazo ni too weak.
Too weak wewe kwa mkeo achana na yanga dogo
 
Nyie nina furahaaaa Wow Wow ...
Aaaaaaw Yanga, I love you so much 💛💚
Ukitaka kuwa na muendelezo wa hiyo furaha ni kuzidi kuomba uendelee kukutana na vubonde kama hao
 
Maneno ya mkosaji ,unateseka ukiwa pande zipi ? tuma salamu kwa madunduka watatu.
Natuma salamu kwa kibu denis na henock inonga ...leo mmetimiza saba za fungate toka tulivyowakanda mbili za mkwezi....vp kichefuchefu kimeshawaanza ili tuwaletee maembe mabichi na ndimu kutoka morocco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…