FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Tumeshinda mkuu
 
Hatimaye yametimia

MI NI YAAAAAAAAAANGA
[emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji172][emoji172][emoji172][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
πŸ˜‡
 
Huyo atakua analia mara mbili,kwanza ushindi wa yanga pili jina la id yake pendwa kutumika na mwana Yanga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani bonge la pigo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na usishangae aliyeikwapua ni mwenyeji tu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kweli kabisa Rivers na timu za Nigeria ni weak sana ila bado sisi hatukufika Nusu
Bora wewe ambaye unafikiria kutofika nusu kuliko mwenzako ambaye katika haya mashindano aliweka ambitions za kufika makundi lakini hakuweza kufikia lengo.

Yanga walikuwa na mipango ya kufika hatua ya makundi kwenye Club Bingwa, kutokana na ugumu wa mashindano ndoto yake imeyeyuka.

Wewe kuifikia robo katika mashindano haya sio jambo dogo na ndio maana hata pesa unaolipwa ni kubwa kuliko yule ambaye amefika nusu kwenye shirikisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…