FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Leo yanga tunaweza tukafungwa amini usiamini ila kuchomoka na ushindi leo ni ngumu sanaaaa.

Nina was was na mentality ya wachezaji toka tupigwe na kitu kizito kwenye mechi ya derby.wachezaji morali haiko juu kama pale awali.

Kama uchawi wa bagamoyo tu ulituchapa goli 2 sasa uchawi wa nigeria je??????
Tumeshinda mkuu
 
KWA SASA MPIRA WA AFRIKA BILA DAR YOUNG AFRICANS NI SAWA NA MZINGA WA NYUKI BILA ASALI HAUNA THAMANI....

GO WANAJANGWANI....
#WANANCHI [emoji169][emoji172]

TUKIMPIGA RIVERS NAJUA KINA ZUWEZA WATANUNA NA KUSEMA TEMEMPIGA KIBONDE

YOUNG AFRICA 2 RIVERS 0
FT
Hatimaye yametimia

MI NI YAAAAAAAAAANGA
[emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji172][emoji172][emoji172][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
View attachment 2596907

ANAITWA NAZIRU AUWALU mshambuliaji wa TIMU YANGU YA UTOTONI YA RIVERS UNITED ya Nigeria [emoji1184] huko huyu anafunga hata akiwa benchi anakabwa na mabeki 7 mechi 10 anagoli 48 kacheza Aston Villa kila la kheri RIVERS UNITED amesema asipofunga leo anaacha kucheza mpira RIVERS UNITED NGUVU MOJA[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1184][emoji1184][emoji1184]
πŸ˜‡
 
Huyo atakua analia mara mbili,kwanza ushindi wa yanga pili jina la id yake pendwa kutumika na mwana Yanga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani bonge la pigo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na usishangae aliyeikwapua ni mwenyeji tu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kweli kabisa Rivers na timu za Nigeria ni weak sana ila bado sisi hatukufika Nusu
Bora wewe ambaye unafikiria kutofika nusu kuliko mwenzako ambaye katika haya mashindano aliweka ambitions za kufika makundi lakini hakuweza kufikia lengo.

Yanga walikuwa na mipango ya kufika hatua ya makundi kwenye Club Bingwa, kutokana na ugumu wa mashindano ndoto yake imeyeyuka.

Wewe kuifikia robo katika mashindano haya sio jambo dogo na ndio maana hata pesa unaolipwa ni kubwa kuliko yule ambaye amefika nusu kwenye shirikisho.
 
Back
Top Bottom