[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu enjoyyyzz weekends.Ahsante kwa kuliona hilo Mtani.
Simba kacheza fainali ya kombe lipi? Michuano ya CAF confederation cup imeanzishwa mwaka 2004.Hamna kipya mnaweza kufanya ambacho simba hajawahi kufanya, Simba ameshacheza fainali ya hilo kombe
Prudator=PredatorWanamwita Fiston kalala mayele A.K.A prudator mla majini
Sure, makorokoro kazi wanayo. Lazima wazabweze zaidi ya 3 si umesikia kocha wa wale waarabu amesema ndio kwanza kumekucha mechi ya jana ni kama half time tu.Kama rivers wameshindwa kwao basi sidhani kama watanya kitu kwa mkapa
AahaaaaaaaSimba kacheza fainali ya kombe lipi? Michuano ya CAF confederation cup imeanzishwa mwaka 2004.
Kabisa yaani Mkuu.Angalau bwana
Mwaka ganiHamna kipya mnaweza kufanya ambacho simba hajawahi kufanya, Simba ameshacheza fainali ya hilo kombe
Bestie na Chama Baleke. π€£π€£π€£π€£
Rivers kalipwa kisasi Cha kutupiga goli moja moja home and away Kwa siku mojaKwani kuna habari gani
Aisee safi hiyo mzee baba so incase tukipita kuna uwezekano wa kukutana na nani semiRivers kalipwa kisasi Cha kutupiga goli moja moja home and away Kwa siku moja
πππNikadhani ni yeye kumbe bado ni chama balekeπππππ
Hakuna kibonde anayequalify ndio maana huwaoni wababe wenu AZAM.Yanga wamejipatia vibonde aisee...
Washindwe wenyewe
Labda PyramidsAisee safi hiyo mzee baba so incase tukipita kuna uwezekano wa kukutana na nani semi
Nilikuwq busy uwanjani nashangilia Yanga
KafanyajeMorrison akamatwe haraka