Habari za hapo Lagos mkuu!Nimekuwa mshabiki na nikiifatilia Rivers United tangu nikiwa nafanya shughuli zangu za bodaboda hapo jijini Lagos. Kila la heri kwa Rivers United
☹️Dah! Wewe jamaa unajua kutabiri. Yaani umecheza mule mule.
Kumbe na Ihefu wababe wenu siwaoniHakuna kibonde anayequalify ndio maana huwaoni wababe wenu AZAM.
Hatuna mbabe NBC premier league wote tumewakalia, Hata nyie.Kumbe na Ihefu wababe wenu siwaoni
Tunakumbushana tu Leo tuna milioni 10 toka kwa Mama Samia Suluhu.
Hivi kumbe huu uzi uliendelea! Hongereni sana wananchi. Hatunaga ugeni popoteMabingwa wa kutandaza soka tamu, soka la kuvutia, soka la kumtoa nyoka pangoni, soka ice cream, soka lenye viwango vya Dunia.
Hapa nawazungumzia Young Africans
Baada ya kupokea kichapo kikali toka kwa mahasimu wao simba Sports Club
leo mida ya saa 10:00 JIONI.
Wananchi wenye nchi yao YOUNG AFRICANS watashuka pale dimba la ESTADIO DE GODSWILL AKPABIO nchini NIGERIA kutafuta alama tatu za ushindi mnono ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuingia nusu fainal kwa mara ya kwanza katika fainali ya michuano ya Shirikisho barani Afrika.
Ikumbukwe kuwa hawa walishakutana katika michezo miwili huko
Timu ya Rivers United iliichakaza vibaya sana wananchi kwa kuwafunga nyumbani na ugenini mchezo wa leo utakuwa mkali kwa timu zote.
Kila la kheri YANGA
==========
Updates..
Mchezo umeanza
5' Bado mchezo hauna kasi kubwa, timu zote zinasomana
9' Rivers wanakosa nafasi ya wazi, mpira unamkataa mshambuliaji wao karibu na lango la Yanga
12' Mashabiki si wengi uwanjani
15' Yanga wanafanya shambulizi kali, lakini wanashindwa kuweka mpira wavuni
26' Azizi Ki na FaridI Mussa wanapata nafasi ya kufunga lakini wanakosa umakini
38' Mashambulizi ni makali na timu zinapokezana kushambulia
41' Yanga wanaonesha ubora wa kuzuia mashambulizi ya Rivers
45' Zinaongezwa dakika 2
MAPUMZIKO: Matokeo bado ni 0-0
Mabadiliko kwa Yanga, wanaingia Kibwana Shomari, Moloko na Tuisila Kisinda wametoka Lomalisa, Djuma na Faridi Musa
Kipindi cha pili kimeanza
47' Bado mambo ni magumu kwa timu zote
68' Mayele anakosa nafasi nzuri akishindwa kumalizia kazi nzuri ya Azizi Ki
74' Fiston Mayele anafunga
VAR: Mwamuzi anapitia kama kuna OFFSIDE, mchezo umesimama kwa muda
Mwamuzi anaruhusu mchezo uendelee kuwa ni goli halali
78' Natoka Mudathir anaingia Zawadi Mauya
81' Mayelee anafunga goli la pili kwa Yanga, ni bada ya Rivers kushindwa kufunga ndipo Yanga wakafanya shambulizi la kushtukiza
90' Zinaongezwa dakika 6
Full Time
WoyyyooooooooooooooooooooooooWananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Wananchi hawanaga jambo dogo
Aahaaaaaaaleo nilikuwa tayari nimejipanga kuwafuta machozi mabinti 5 wa yanga 10k endapo wangefungwa. kama weekend iliyopita nilivyo fanya LAKINI
sasa nageuza kibao nakwenda kuwatumuku 3k ya vocha mabinti 25 wa YANGA wajimwage mtandaoni kwa furaha ya ushindi
Mamdogo punguza gubu ona sasaWangeweza kunisikia toa Mayele ingize Mzize. Mayele hamna kitu sijui anajifanya star. Ingiza Mzize mwenye uchu
Upo wapi?Leo lazima yanga ife...nimekaa pale..mtakuja kunipa mrejesho
AahaaaaaaKuachiwa pale kwa mkapa mkadhani yanga imekwisha kumbe nabi hakutaka kupoteza muda/nguvu kubwa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu unatungua papai kwa kutumia gobore.Simba kacheza fainali ya kombe lipi? Michuano ya CAF confederation cup imeanzishwa mwaka 2004.
AahahaaaaaMkuu unatungua papai kwa kutumia gobore.
Umetumia silaha nzito sana..
Uwanja upi sheikh?Nilikuwq busy uwanjani nashangilia Yanga