FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

WERAAAAAAAAAAAA.....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna 🐕 haziamini kilichotokea🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
View attachment 2596907

ANAITWA NAZIRU AUWALU mshambuliaji wa TIMU YANGU YA UTOTONI YA RIVERS UNITED ya Nigeria [emoji1184] huko huyu anafunga hata akiwa benchi anakabwa na mabeki 7 mechi 10 anagoli 48 kacheza Aston Villa kila la kheri RIVERS UNITED amesema asipofunga leo anaacha kucheza mpira RIVERS UNITED NGUVU MOJA[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1184][emoji1184][emoji1184]
Kiherehere kimekuponza Mbumbumbu na siku nyingine usirudie tena kuanzisha uzi wa Mabingwa wako Yanga FC NBC PL 2022/2023....[emoji3]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Acha kuzuga hujaelewa. Kolo mwenzio amesema pamoja na kwamba team za confederation ni mbovu, bado Simba haikufika nusu fainali.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwasababu kile kipindi kulikuwa na timu ngumu.

Jiulize kwanini wewe kile kipindi hukuweza kufika hata makundi?
 
Back
Top Bottom