FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Huyu jamaa si nasikia alifungiwa na bodi ya ligi huko kwao baada ya kuonekana kwenye nafasi moja ye anafunga tatu?

Imekuwaje tena leo hii acheze?

This is not fair
Jinsi unavyopitia ugumu wakati huu kwa kukwepa huu uzi [emoji16]
JamiiForums2142472440.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Aaahaaaa

Umelisahau mnapata na kombe lenu la Robo Fainali mshalipata
Kombe ni hela wewe sio lile li kasha

Nimewaambieni mnipe sababu kwanini timu za bara huwa hazishoboki na michuano ya mapinduzi wakati nayo ni mashindano yenye kombe?
 
Back
Top Bottom