Asante sana kolola yaani kamuweza sana, Yanga hatushindwi kitu. Haya Baleke ukuje, tumepindua meza away...Anaitwa Somebody baleke. Kama hili la OKW BOBAN SUNZU amelidaka mwana yanga naona ni ushindi mkubwa
Tuna rekodi nyingi ambazo huwezi kuzifikia leo wala kesho hata mwaka huu tunaweza kurudia rekodi yetu wenyewe.Na wewe kamtoe mwarabu ubebe hilo kombe la ligi yako tu limekushinda
Imebadilishwa jina mwaka 2004Simba kacheza fainali ya kombe lipi? Michuano ya CAF confederation cup imeanzishwa mwaka 2004.
Kiherehere kimekuponza Mbumbumbu na siku nyingine usirudie tena kuanzisha uzi wa Mabingwa wako Yanga FC NBC PL 2022/2023....[emoji3]View attachment 2596907
ANAITWA NAZIRU AUWALU mshambuliaji wa TIMU YANGU YA UTOTONI YA RIVERS UNITED ya Nigeria [emoji1184] huko huyu anafunga hata akiwa benchi anakabwa na mabeki 7 mechi 10 anagoli 48 kacheza Aston Villa kila la kheri RIVERS UNITED amesema asipofunga leo anaacha kucheza mpira RIVERS UNITED NGUVU MOJA[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1184][emoji1184][emoji1184]
Wacha wewe!! Mshono kama mshono siyo!! Na kweli, kuna mtu amekula 2.
Club Bingwa kugumu yani chochote unachokupata kwenye hii hatua ni big worthNa muda ukifika mtasema tumewaachia ubingwa wa TZ sisi tunajali robo fainali ya CAFCL.
AahahaaaaaMakolo wakifunga goli mbili CASABLANCA Man city atashuka daraja.
1993Mwaka gani
AaahaaaaClub Bingwa kugumu yani chochote unachokupata kwenye hii hatua ni big worth
Umefuuga timu ha viwete basi unaviiimbaa unajiona Bayern hapo ulipo
Karibu kwa mkapa mkuu uangalie second leg ushuhudie Yanga ikifuzu nusu fainali liveOkay
Mshono umepoa sasa..Kuachiwa pale kwa mkapa mkadhani yanga imekwisha kumbe nabi hakutaka kupoteza muda/nguvu kubwa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwasababu kile kipindi kulikuwa na timu ngumu.Acha kuzuga hujaelewa. Kolo mwenzio amesema pamoja na kwamba team za confederation ni mbovu, bado Simba haikufika nusu fainali.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mechi ya kufuzu nimeiangalia leoKaribu kwa mkapa mkuu uangalie second leg ushuhudie Yanga ikifuzu nusu fainali live
Mchezo hauhitaji hasira...kaa kwa kutuliaOgopa sana;
1. Mungu.
2. Pesa.
3. Technology.
Ona sasa unavyoaibika na umbumbumbu wako [emoji28]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Warerereeeee Tena mbumbumbu la kutupwaaOgopa sana;
1. Mungu.
2. Pesa.
3. Technology.
Ona sasa unavyoaibika na umbumbumbu wako [emoji28]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ugumu unaupima vipi?Kwasababu kile kipindi kulikuwa na timu ngumu.
Jiulize kwanini wewe kile kipindi hukuweza kufika hata makundi?