Pole sana shabiki hewa wa Rivers United.
Jinsi unavyopitia ugumu wakati huu kwa kukwepa huu uzi [emoji16]Huyu jamaa si nasikia alifungiwa na bodi ya ligi huko kwao baada ya kuonekana kwenye nafasi moja ye anafunga tatu?
Imekuwaje tena leo hii acheze?
This is not fair
FA Cup ya Azam haipo mbaliMshono umepoa sasa..
Sasa si mmepata kibonde wenu?
Simba ile ilowafumua ndo Simba ilomshona Wydad kaka
Umeonaeee....Yanga wamejipatia vibonde aisee...
Washindwe wenyewe
Chama Baleke anajiitaAsante sana kolola yaani kamuweza sana, Yanga hatushindwi kitu. Haya Baleke ukuje, tumepindua meza away...
Kombe ni hela wewe sio lile li kashaAaahaaaa
Umelisahau mnapata na kombe lenu la Robo Fainali mshalipata
Mjeee tuwape douzeeeFA Cup ya Azam haipo mbali
Kombe la mapinduzi halishobokewi kivipi wakati kila mwaka mnaenda kushiriki?Cheki huyu
Kombe ni ishara, thamani ipo kwenye hela
Unafikiri kwanini mapinduzi Cup haishobokewi wakati ni kombe?
Naisave hii replyMjeee tuwape douzeee
Hata kama hawafiki lakini wangefungwa leo na juzi mlifurahi, leo mgekula pilau hasa. Mungu mkubwaUto tulizeni ngengaaaa Nusu fainali hamuingii
AahaaqqKombe la mapinduzi halishobokewi kivipi wakati kila mwaka mnaenda kushiriki?
Save tuu si ulisevu na ya derby mnyama nikakuraruaaNaisave hii reply
Ujui kwamba hao ndio mabingwa watarajiwa wa kombe la Shirikisho mwaka huu!Uto tulizeni ngengaaaa Nusu fainali hamuingii
Kweli mkuu wacha kabisaHata kama hawafiki lakini wangefungwa leo na juzi mlifurahi, leo mgekula pilau hasa. Mungu mkubwa
Ugumu na upima kupitia performanceUgumu unaupima vipi?
Sasa hivi team ngumu zimekufa?
Aaaaaah wapiiiiiiiiii nitakufa na kurise againUjui kwamba hao ndio mabingwa watarajiwa wa kombe la Shirikisho mwaka huu!
Wazee wakombe la robo fainali mshalipata na mwaka huuMjeee tuwape douzeee
Karibu juisi ya matunda hapa Mtani, asante kututakia heri ya ushindi vs Rivers Utd ingawa ilikuwa kishingo upande [emoji38]Sipati picha kale ka semaji ka uto mpk nyama ziota leo hahaha.....
Ila jamani bado sio sawa na kumfunga Wydad ilo tuliweke sawa