Nakuona nakuona mdogo wangu.Kila LA kheri utopolo lolote liwakute
Hahah nawaombea mshide Dada ake.Nakuona nakuona mdogo wangu.
Uko siti ya mbele perfect position kushuhudia namna ngumi mpenyezo zinapomkuta mwananchiSiti ya mbele
Huyu jamaa si nasikia alifungiwa na bodi ya ligi huko kwao baada ya kuonekana kwenye nafasi moja ye anafunga tatu?View attachment 2596907
ANAITWA NAZIRU AUWALU mshambuliaji wa TIMU YANGU YA UTOTONI YA RIVERS UNITED ya Nigeria [emoji1184] huko huyu anafunga hata akiwa benchi anakabwa na mabeki 7 mechi 10 anagoli 48 kacheza Aston Villa kila la kheri RIVERS UNITED amesema asipofunga leo anaacha kucheza mpira RIVERS UNITED NGUVU MOJA[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1184][emoji1184][emoji1184]
Insha Allah.H
Hahah nawaombea mshide Dada ake.
Boss mi sisikilizi watu nasikiliza wanyama na ndege tu, pia nasikiliza music kwani umemaanisha watu wa wapi? Twiga street, Burundi au Bangladesh?Mkuu Kila Kitu Acha Kusikia Kwa Watu
Hapana JiraniDooh! Ujue Jirani sikuelewi elewi eeh [emoji1787][emoji1787]
Hii kheri ya front page sio unatutia n u k s i kweli Jirani. Lol.
Ooh! Haya bana Jirani.Hapana Jirani
Mimi ni mzalendo. Naaamini yanga inaweza kufanikiwa bila kuiombea Simba mabaya.
Nazitakia kila la kheri timu za Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Eid MubarakOoh! Haya bana Jirani.
Tusubiri tuone.
Ahsante jirani.
Sema Yanga wanachakujifunza Kwa Simba Duh so Kwa Moshi wa Jana [emoji23][emoji23] jamani mlikuwepo uwanjani kulikoni tuliokuwa mikoani kwenye mabanda tukajua Benjamin mpaka ndo basi tena imepigwa short ya umeme kumbe hamna bhana
Mbona unaandika sana hata sijasomaMna kombe moja tayari msimu huu kuifunga Yanga! Ila ukweli mnaujua bingwa huanzia ugenini anazuia tu kwao Morocco mtakoma mtakandwa week na mna bahati Msuva hayupo angewakanda ndani nje!
Jana Wydad hawakutaka kuanguka kwa utelezi wakiona mpira wa hovyo mnacheza Huku mnanyeshewa mvua kama Bata mzinga na hawakucheza kabisa kutafuta ushindi Simba walihangaika sana kutaka kuonekana ni timu kubwa jamaa wanacheza kwa kurelax na Kwa mpira wa kitabu! Counter attacks tu, Hata goli lilifungwa kwa juhudi binafsi si uwezo wa timu Wydad wakashangaa mmefungaje timu dhaifu Haina kombe lolote miaka miwili Sasa ni kusindikiza Mabingwa wa Kihistoria Dar Young Africans!
Mwende Morocco na kapu la magoli utopolo tuna uhakika mvua hamna kule na mtakakandwa magoli ya Kihistoria maana thamani ya mchezaji mmoja wa Wydad ni sawa ujumlishe Inonga, Mzee Onyango, Bocco, Chama, Baleke, Kanoute , Sakho na Tshabalala!
Mkishakandwa mje kushtaki mi nimekaa pale!!
Leo mkando unaendelea bwa sheee....Morocco mtakandwa tu hata mcheze 20 kule mvua hakuna jombaa