FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Siti ya mbele
Uko siti ya mbele perfect position kushuhudia namna ngumi mpenyezo zinapomkuta mwananchi

Mliokaa eneo la mbele, wakati wa pambano la vitasa linaendelea ndio mtaokuwa wakwanza kusikia "ana nga'ata"
 
View attachment 2596907

ANAITWA NAZIRU AUWALU mshambuliaji wa TIMU YANGU YA UTOTONI YA RIVERS UNITED ya Nigeria [emoji1184] huko huyu anafunga hata akiwa benchi anakabwa na mabeki 7 mechi 10 anagoli 48 kacheza Aston Villa kila la kheri RIVERS UNITED amesema asipofunga leo anaacha kucheza mpira RIVERS UNITED NGUVU MOJA[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1184][emoji1184][emoji1184]
Huyu jamaa si nasikia alifungiwa na bodi ya ligi huko kwao baada ya kuonekana kwenye nafasi moja ye anafunga tatu?

Imekuwaje tena leo hii acheze?

This is not fair
 
Mkuu Kila Kitu Acha Kusikia Kwa Watu
Boss mi sisikilizi watu nasikiliza wanyama na ndege tu, pia nasikiliza music kwani umemaanisha watu wa wapi? Twiga street, Burundi au Bangladesh?
 
Za ndani zinasema rivers mazoezi yao huwa wanafanyia kwenye mto

Sasa kama shuti la kwenye maji tu kipa anababuka mikono je uwanjani itakuaje?😁😁


Leo naona kabisa shaolin soccer 2 inatoka
 
Sema Yanga wanachakujifunza Kwa Simba Duh so Kwa Moshi wa Jana [emoji23][emoji23] jamani mlikuwepo uwanjani kulikoni tuliokuwa mikoani kwenye mabanda tukajua Benjamin mpaka ndo basi tena imepigwa short ya umeme kumbe hamna bhana
20230423_101030.jpg
 
Mna kombe moja tayari msimu huu kuifunga Yanga! Ila ukweli mnaujua bingwa huanzia ugenini anazuia tu kwao Morocco mtakoma mtakandwa week na mna bahati Msuva hayupo angewakanda ndani nje!

Jana Wydad hawakutaka kuanguka kwa utelezi wakiona mpira wa hovyo mnacheza Huku mnanyeshewa mvua kama Bata mzinga na hawakucheza kabisa kutafuta ushindi Simba walihangaika sana kutaka kuonekana ni timu kubwa jamaa wanacheza kwa kurelax na Kwa mpira wa kitabu! Counter attacks tu, Hata goli lilifungwa kwa juhudi binafsi si uwezo wa timu Wydad wakashangaa mmefungaje timu dhaifu Haina kombe lolote miaka miwili Sasa ni kusindikiza Mabingwa wa Kihistoria Dar Young Africans!

Mwende Morocco na kapu la magoli utopolo tuna uhakika mvua hamna kule na mtakakandwa magoli ya Kihistoria maana thamani ya mchezaji mmoja wa Wydad ni sawa ujumlishe Inonga, Mzee Onyango, Bocco, Chama, Baleke, Kanoute , Sakho na Tshabalala!

Mkishakandwa mje kushtaki mi nimekaa pale!!
Mbona unaandika sana hata sijasoma
Mlikandwaaa
Waidada wenu akakandwa
Furaha yetu imetimilika
 
Back
Top Bottom