Usisahau hii ,maana mimi nipo nafanya uchambuzi naona kapicha ya kutisha kwa hawa jamaa.Nimekuwa mshabiki na nikiifatilia Rivers United tangu nikiwa nafanya shughuli zangu za bodaboda hapo jijini Lagos. Kila la heri kwa Rivers United
Lugha ya kitumwa (Malkia) imekukataa Ndugu, rudia la saba C au wahi haraka kwa Rasi Simba ujifunze upya.Kwann akil zenu ziko negative sana..Kwann uwaze specifically USHOGA?? why not other stuffs? Are you a gay brother?
Why not honor your integrity if u really are a gentleman?
Have been infected by gaysm brother?
Tanzania kacheza jana tusipotoshe jamiiKila la kheri Tanzania...
Kheee kwani imekua kesi??Jeshi la mtu mmoja njooni Mbumbumbu fc wote! Hata mtukane Morocco mtakandwa week.
Mkishakandwa mje kushtaki nimekaa pale!!
Kalpana tangu lini mi na wewe tukaombeana mabaya? ebu fungua moyo bhana au umeamua kuasi asili yako (uananchi/mwananchi) ?[emoji1]Wanaija Kandeni huo mshono na maji ya motooo ufumuke....
Eee mbwai mbwai tuuu
Nyie wakutuombea mabaya kwa waidadi nyieeee basi ngoja na sisi tufanye vivyo japo maombi yenu hayakujibiwa mnasubiria ya Ijumaa..
[emoji1] [emoji1]
Sifa ya aliyezoea kupigwa ni kubaki uchi kama wewe ulivyo hapo kwenye pp yako.Labda yanga washinde NJAA!..,.jamaa wanapga kwenye mshono,sio chin ya goli mbili utoh anakufa
Dah.. Kuiombea yanga ushindi inahitaji roho ngumu sana.. Anyway nawaombea mechi njemaMabingwa wa kutandaza soka tamu, soka la kuvutia, soka la kumtoa nyoka pangoni, soka ice cream, soka lenye viwango vya Dunia.
Hapa nawazungumzia Young Africans
Baada ya kupokea kichapo kikali toka kwa mahasimu wao simba Sports Club
leo mida ya saa 10:00 JIONI.
Wananchi wenye nchi yao YOUNG AFRICANS watashuka pale dimba la ESTADIO DE GODSWILL AKPABIO nchini NIGERIA kutafuta alama tatu za ushindi mnono ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuingia nusu fainal kwa mara ya kwanza katika fainali ya michuano ya Shirikisho barani Afrika.
Ikumbukwe kuwa hawa walishakutana katika michezo miwili huko View attachment 2596897
Timu ya Rivers united iliichakaza vibaya sana wananchi kwa kuwafunga nyumbani na ugenini mchezo wa leo utakuwa mkali kwa timu zote.
Kila la kheri YANGA
Leo ni Nigeria Vs Tanzania...Tanzania kacheza jana tusipotoshe jamii
Tena ww duuhKalpana tangu lini mi na wewe tukaombeana mabaya? ebu fungua moyo bhana au umeamua kuasi asili yako (uananchi/mwananchi) ?[emoji1]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Yani kama nyieeee mnavyotupa moto kwny mechi zetuMashabiki wa simba kwa ukiherehere tu, hamjambo.
tupo kweny mech,hayo pp ni uoga na kupanik kwako tu mkuu,kunywa maji na fanta nyeus maana naona sukari iko down mkuuSifa ya aliyezoea kupigwa ni kubaki uchi kama wewe ulivyo hapo kwenye pp yako.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Nimefanyaje tena Mtani jamani? Ebu sikiliza kwanza mziki wa "Jirani yangu nimekukosea nini" labda utasuuzika nyongo [emoji2]Tena ww duuh
Haya mkuu kila la heri
Sawa, kinachonifurahisha zaidi toka kwenu Watani wetu ni kadri mnavyotuombea njaa Wana Yanga ndivyo jinsi tunavyozidi kuneemeka [emoji847]tupo kweny mech,hayo pp ni uoga na kupanik kwako tu mkuu,kunywa maji na fanta nyeus maana naona sukari iko down mkuu
Yaani kila inapocheza Yanga, basi lazima mkimbilie kuanzisha uzi! Kwa nini msiache nafasi kwa Wananchi wenyewe akina Joseverest na wengineo wengi kutuanzishia uzi wenye misingi ya kiuwananchi?Yani kama nyieeee mnavyotupa moto kwny mechi zetu