FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Hawa si ndo wale walimla mtu kwao na away hawa???au??
 
Nimekuwa mshabiki na nikiifatilia Rivers United tangu nikiwa nafanya shughuli zangu za bodaboda hapo jijini Lagos. Kila la heri kwa Rivers United
Usisahau hii ,maana mimi nipo nafanya uchambuzi naona kapicha ya kutisha kwa hawa jamaa.
IMG_20230423_001638.jpg
 
Kwann akil zenu ziko negative sana..Kwann uwaze specifically USHOGA?? why not other stuffs? Are you a gay brother?
Why not honor your integrity if u really are a gentleman?
Have been infected by gaysm brother?
Lugha ya kitumwa (Malkia) imekukataa Ndugu, rudia la saba C au wahi haraka kwa Rasi Simba ujifunze upya.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Jeshi la mtu mmoja njooni Mbumbumbu fc wote! Hata mtukane Morocco mtakandwa week.

Mkishakandwa mje kushtaki nimekaa pale!!
Kheee kwani imekua kesi??
Punguza jazba mkaka/mbaba
Tusubiri muda tuenjoooooy mechi
 
Wanaija Kandeni huo mshono na maji ya motooo ufumuke....
Eee mbwai mbwai tuuu
Nyie wakutuombea mabaya kwa waidadi nyieeee basi ngoja na sisi tufanye vivyo japo maombi yenu hayakujibiwa mnasubiria ya Ijumaa..
[emoji1] [emoji1]
Kalpana tangu lini mi na wewe tukaombeana mabaya? ebu fungua moyo bhana au umeamua kuasi asili yako (uananchi/mwananchi) ?[emoji1]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mabingwa wa kutandaza soka tamu, soka la kuvutia, soka la kumtoa nyoka pangoni, soka ice cream, soka lenye viwango vya Dunia.

Hapa nawazungumzia Young Africans
Baada ya kupokea kichapo kikali toka kwa mahasimu wao simba Sports Club
leo mida ya saa 10:00 JIONI.

Wananchi wenye nchi yao YOUNG AFRICANS watashuka pale dimba la ESTADIO DE GODSWILL AKPABIO nchini NIGERIA kutafuta alama tatu za ushindi mnono ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuingia nusu fainal kwa mara ya kwanza katika fainali ya michuano ya Shirikisho barani Afrika.

Ikumbukwe kuwa hawa walishakutana katika michezo miwili huko View attachment 2596897

Timu ya Rivers united iliichakaza vibaya sana wananchi kwa kuwafunga nyumbani na ugenini mchezo wa leo utakuwa mkali kwa timu zote.

Kila la kheri YANGA
Dah.. Kuiombea yanga ushindi inahitaji roho ngumu sana.. Anyway nawaombea mechi njema
 
Back
Top Bottom