Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ajinyee mara ngapi, saizi wameamua kumvalisha PampersAmka utajinyea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajinyee mara ngapi, saizi wameamua kumvalisha PampersAmka utajinyea
Fwara kweli wewe ha ha ha ha haNyerere bado yuko hai.
Losers wapo nusu fainaliNdo tujipange hapo, maana wao watageuza na kusema Kimataifa, hutawasikia wakiongelea Shirikisho
Pye pye pyeeeYANGA 0
RIVERS UNITED 3
NI SWALA LA MUDA TU[emoji1184][emoji1184][emoji1184][emoji1184][emoji1184]
Nyerere bado yuko hai.
Ajinyee mara ngapi, saizi wameamua kumvalisha Pampers
Lolote lipi mkuu ? Sio moroccoIla lolote linaweza kutokea
Sina muda wa kubishanaMkuu unaishi dunia gani?
Wamebakia kuifananisha Rivers na timu za Ligi ya Zanzibar. 😂😂😂Mikia muda huu, hawaamini kinachoendelea Nigeria...View attachment 2597251
Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba watabeba Kombe! NabishaaYanga ni favorite wa kubeba kombe hili,ila Makolo watabisha
Ukitaka kuwa na muendelezo wa hiyo furaha ni kuzidi kuomba uendelee kukutana na vubonde kama hao
Kwani zile historia za Unbeaten Kwa Rivers uwanja wao zimeishia wapi tena ndugu?
Wakianza tena makelele imekula kwaoyanga wanauwezo kufika fainali kwa mwendo wa nyatunyatu
Nyie mlifika wapi kwenye hiyo loser league?Champions league haiwezi kuwa sawa na looser league
Kwasasa halipo tena....usinikumbushe bhana akina Bolizozo walivyosababisha tutembee kwa mguu baada ya mchezo
Hawa Rivers wamekuwa vibonde baada tu ya kufungwa siyo!!Zile goli 2 mlizopigwa na Simba ndio kusema mmeenda kuzilipa kwa kibonde Rivers?.
Uko sahihi mkuuHakuna mechi ilituuma wapenda soka Tanzania kama ile...