DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Nimepenyezewa udaku hapa, nimeambia hawa Rivers washawah kufungwa goli kumi na Ihefu kwenye Spanish super cup
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wow! Bet won!!Kila la heri Dar Young Africans.
My bet; Away team 1.5 over.
AahaaaaNimepenyezewa udaku hapa, nimeambia hawa
Dada achana na yanga, huu mda utumie vizuri kusuka vikapu vya kubebea magoli Morocco, droo pekee iliyopo ni ya kabatiUnafikiri utani mkuu....yaniiii hawa mito ni washenzi sana
Haa[emoji3][emoji3] Simba mna wivu nyieHuyu rivers ni bingwa wa ndondo cup ya viwete
Tulia tutashona hyo midomo ijumaaDada achana na yanga, huu mda utumie vizuri kukusanya vikapu vya kubebea magoli Morocco, droo pekee iliyopo ni ya kabati
Pamoja mkuuHongereni sana Yanga kwa kufuzu hatua ya nusu fainali..ukweli lazima tuseme mnaupiga mwingi sana,Simba tuna la kujifunza kwenu.
AMINA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu enjoyyyzz weekends.
Muiwaze kuitafuta Final, maana Semi mshaingia tayari.
Kujifunza kwa losersHongereni sana Yanga kwa kufuzu hatua ya nusu fainali..ukweli lazima tuseme mnaupiga mwingi sana,Simba tuna la kujifunza kwenu.
Ah wee mie nipo nanesa juu ya msambwanda wa mrembo wa yanga.Simba mnajidai kama hamjaona Yanga alichomfanya Rivers huko[emoji3][emoji3] mzabzab
Makolokolo watakukoma mwaka huu [emoji4]Simba kacheza fainali ya kombe lipi? Michuano ya CAF confederation cup imeanzishwa mwaka 2004.
Aaaahaaaaaa
Tafuta barafu ujipooze mtani. Sisi ndio mabingwa wa CAF confederation cup mwaka huu!Inadunda labda mwarobaini
Lile kombe lenu la kimataifa la robo fainali limekuwa la loser leoKujifunza kwa losers
Mpira huwa una matokeo ya kikatili sana (hautabiriki) lakini naamini Mungu atatuwezesha Yanga kuvuka robo fainali kwa Mkapa.Kabisa yaani Mkuu.
Kwa asilimia kadhaa tuna uhakika wa kusonga mbele.
Nimetoka kumfunga Bingwa mtetezi wa Cafcl leo niumie na losers wawili wanaoruka rukaHaaaaaaaaa
Roho inakuuuuaaaaaa
Tunajua mshachukua kombe lenu la robo fainali hamna presha mnaenda kukabidhiwa tu na wydad kwa magoli ya kutosha.Tulia tutashona hyo midomo ijumaa