FT: KVZ 0 - 2 Simba | Nusu Fainali Kombe la Muungano | Amani Stadium | 24/04/2024

FT: KVZ 0 - 2 Simba | Nusu Fainali Kombe la Muungano | Amani Stadium | 24/04/2024

GJ3A19iXsAA0q8E.jpeg
 
Hahahhahah!. Nimecheka sana.

Hiyo wine ya Uto achana nayo. Wine gani unaanza kuserebuka nyuma? Au ndiyo unaiishi slogan yenu "daima nyuma, mbele mwiko"?
Una dhambi wewe! 😂
Slogan yetu ni 'Daima mbeleeeee, nyuma Mwikoooo'
 
Wamemuumiza Chama safi sana, mnadhani Yanga wajinga kuyakataa haya mashindano, jawa haww KVZ walimtwanga konde la uso OKRAH akakaa nje ya uwanja kwa miezi kadhaa kitengo cha machela kikae sawa kuna majeruhi wakutosha leo
 
Wamemuumiza chama safi sana, mnadhani yanga wajinga kuyakataa haya mashindano, jawa haww KVZ walimtwanga konde la uso OKRAH akakaa nje ya uwanja kwa miezi kadhaa kitengo cha machela kikae sawa kuna majeruhi wakutosha leo

Duh, kama ulikuwa hukijui kitu kinaitwa nongwa ndo hichi sasa....!

Okrah alishapona...kacheza mechi kadhaa, We bado unalo tu.
 
Back
Top Bottom