FT: KVZ 0 - 2 Simba | Nusu Fainali Kombe la Muungano | Amani Stadium | 24/04/2024

FT: KVZ 0 - 2 Simba | Nusu Fainali Kombe la Muungano | Amani Stadium | 24/04/2024

Wamemuumiza chama safi sana, mnadhani yanga wajinga kuyakataa haya mashindano, jawa haww KVZ walimtwanga konde la uso OKRAH akakaa nje ya uwanja kwa miezi kadhaa kitengo cha machela kikae sawa kuna majeruhi wakutosha leo
Kuumia ni popote, refer Azam walivyowaumiza Pacome na Yao
 
Haya mashindano ya propaganda.
Japo mimi ni mwana Lunyasi ila kwa hili ni siasa tu.
Mapinduzi cup ni bora kuliko hiki kikombe cha chai
 
Haya mashindano ya propaganda.
Japo mimi ni mwana Lunyasi ila kwa hili ni siasa tu.
Mapinduzi cup ni bora kuliko hiki kikombe cha chai

Hili ni Kubwa Zaidi kuliko la Mapinduzi...

Japo ni kweli ni Siasa... !

Siasa ndio Maisha ..Siasa ni Kilimo...! Soka ni Siasa..! Siasa ndo Kila Kitu..!

Viongozi wa uto Wameteleza tu mwaka huu kutoshiriki, Mwakani Lzm Watajihimu kushiriki
 
  • Thanks
Reactions: K11
Nyie uto mbona mnatukalia kooni? Mnatufata fata mpka zanzibar jamani...
 
Haya mashindano ya propaganda.
Japo mimi ni mwana Lunyasi ila kwa hili ni siasa tu.
Mapinduzi cup ni bora kuliko hiki kikombe cha chai
Mashindano yamekuja ghafla kuwaokoa kina Mangungu maana wanamzengo walishaanza kukunja sura. Au ni mbinu zaidi za kukutesa maana Azam watatuumbua
 
Pamoja na kufanya vizuri timu ya Yanga inadharaulika sana, haipati heshima kama Simba.

African Super Cup, Simba ilishiriki na kuchukua Bilioni tano kash money.
Mapinduzi Cup Simba inashiriki na sijaelezwa wanapata pesa kiasi gani.
Ubora wa timu ni ya 5 Africa.
Na hawaweki mabango.

Yanga ingeweka Mabango makubwa kwenye haya matukio ya Simba.

Timi ya nafasi ya Arobaini Afrika ina michecheto sana.
Na kujitutumua
 
Nafasi ya arobaini, unaonekana jinsi gani haufatilii mpira unasubiria kusimuliwa. Misimu yote uliyocheza robo fainali umeambulia point 39 tu huku Yanga kafanya vizuri misumu miwili mfululizo tayari kafikisha point 31 hivyo ujishike maana soon kichaka cha ranking kinaenda kufyekwa kama kilivyofyekwa kichaka cha robo fainali.

Halafu hiyo nafasi ya 5 unaenda kutolewa kwasababu mashindano bado yanaendelea huku timu yako ikitupa taulo.
Berkane ana point 37 tayari inaonekana anaenda kucheza Fainali hivyo atafikisha point 41. Hapo bado Zamalek na Tp Mazembe nazo zikifuzu zitakuwa juu ya Simba kwenye rank.
Kama unaona Yanga ni ya 40 basi anza kufatilia mpira
 
Kwa hiyo akina Mangungu, Jaribu Tena na MO wamekaa na wakaona kuwa haya ndio mashindano ya hadhi ya Simba kwa sasa?
 
Back
Top Bottom