FT: Ligi Kuu Bara | Azam FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa Chamazi Complex | Mei 18, 2022

Hivi mara ya mwisho Kagere kufunga ilikuwa lini? Tusije tukawa tunamzungumzia Mayele tu kumbe wakwetu mpaka penati ndio anafunga jicho
 
Dah huyu mhilu sijui nan alimleta ntashaa Kama msimu ujao atabakia Simba.
Kagere Sina hata cha kusema .
 
Kocha kwanini hajamwingiza BM3 Mzee wa kuwakeraaaa na kwanini anamweka bench mchezaji wetu ghali kutoka uarabuni Clatous chama mfalme wa msimbazi? au nae tumepigwa kama banda la kuku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…