ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
Mijitu ya Utopolo mnawaza kunya tuuu...Kuna uwezekano mwaka huu Wananchi wakatangaza ubingwa huku wakiwa nyumbani wanakunya juice
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mijitu ya Utopolo mnawaza kunya tuuu...Kuna uwezekano mwaka huu Wananchi wakatangaza ubingwa huku wakiwa nyumbani wanakunya juice
Yeah mtashinda kesho asubuhi ktk kipindi cha michezo Wasafi FMHii mechi tunashinda tu.
Hizi kauli bado mnazisikia huko? [emoji1][emoji1][emoji1]YANGA WAMESHAKATA PUMZI SIMBA HUU UBINGWA NI WETU.
makolo mlipeni chama pesa zake za usajili aje kuwasaidia kugombea nafasi ya pilikutoka kwa BWALYA simba lishindwa kabisa kusogea
...
simba mrudisheni CHAMA
Si tulikubaliana muhilu ni sawa na percy tau wa ahly ahly?wachezaji wengi hawana utulivu wakipata mpira wanajipigia kina mhilu ni kuwatoa kwa mkopo ni wachezaji wazuri wa kuchezea timu ndogo
Acha uwongo....dogo Lusajo Mwaikenda amemfanya tshabalala aonekane wa kawaida sanaaaSospeter Bajana leo amejua kutuharibia mipango...man of the match kwa upande wangu
wanakunyaSahihisha kidogo hapo Chifu
Si tulikubaliana ni hazina ya baadaye na alicheza hadi uefa?Huyu Banda arudishwe alipokuwa
TumepigwaSi tulikubaliana ni hazina ya baadaye na alicheza hadi uefa?
Aende wapi kwa mujibu wa Mwenyekiti wenu alitakiwa aende kucheza ligi ya Uturuki ila yy kaichagua Simba na kishafika kwani Mwenyekiti ana pasu lake kwenye mshahara wa Banda.Huyu Banda arudishwe alipokuwa