leo imekuwa hiviSaidoo hayuko kwenye form kabisa. Sjui kala maharage ya wapi leo.
Nimepiga goti hapa nanena kwa lugha kabisaLeo defence ya simba ...ni kuomba tu
Hapana kibu bado yupo vizuriKibu atoke aingie Okrah.
Duh!..Hii mechi ishaharibiwa na huyu Beijing. Filimbi nyingi bila sababu
Hawa jamaa dakika 0 tu wanakugeuzia kibao. Hawajawahi kuwa na subira, au uvumilivu.leo imekuwa hivi