FT: Ligi Kuu Bara | Dodoma Jiji FC 0-1 Simba SC | Jamhuri Stadium 22/01/2023

FT: Ligi Kuu Bara | Dodoma Jiji FC 0-1 Simba SC | Jamhuri Stadium 22/01/2023

Dah hii mechi aibu naona mimi kujiita mshabiki wa simba.bora hata wangecheza vijana wa timu b hapa katikati kwenye viungo ,erasto ni mzito hatar wala kukimbia hawez

Kiufupi hawa mabeki wakati kama wamefungwa mawe miguuni ,shughuli hawana ,

Boko ndio sitaki kumzungumzia kabisa
 
Back
Top Bottom