FT: Ligi Kuu Bara | Dodoma Jiji FC 0-1 Simba SC | Jamhuri Stadium 22/01/2023

Yani mpaka apone Enonga tutakuwa katika hali mbaya sana
Ndiyo kusema huna imani na beki kisiki Mohamed Outtara, aliyenunuliwa wa dau kubwa kutoka timu maarufu kule Sudan!!

Aisee mashabiki wenzako watakupiga mawe! Umesahau alimsugulisha benchi Joash Onyango kiasi cha kufikia maamuzi ya kutaka kuvunja mkataba!
 
Nafasi ngumu Baleke amefunga,clear chance Matelema amekosa...........halafu mnawapigania wapewe maslahi bora

Guvu moya 😀
 
Mwanzo wa Watani Kuanza Kuingia Mitini....!
Tabu ipo pale pale mpaka kilele mkione kichungu.....
 
Hujamuona hata anavyochukua mpira mkuu. Huwezi kumlinganisha na Bocco. Huyu akicheza na Chama, Saidoo na Sakho utopolo watajua hawajui.
Kuna mama alikuwa anamuuliza swali moja Mangungo ulilisikia?
Ila Baleke angekuwa uwanja wa taifa tungeinjoi zaidi inaonyesha anakitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…