FT: Ligi Kuu Bara | Dodoma Jiji FC 0-1 Simba SC | Jamhuri Stadium 22/01/2023

FT: Ligi Kuu Bara | Dodoma Jiji FC 0-1 Simba SC | Jamhuri Stadium 22/01/2023

Yani mpaka apone Enonga tutakuwa katika hali mbaya sana
Ndiyo kusema huna imani na beki kisiki Mohamed Outtara, aliyenunuliwa wa dau kubwa kutoka timu maarufu kule Sudan!!

Aisee mashabiki wenzako watakupiga mawe! Umesahau alimsugulisha benchi Joash Onyango kiasi cha kufikia maamuzi ya kutaka kuvunja mkataba!
 
Nafasi ngumu Baleke amefunga,clear chance Matelema amekosa...........halafu mnawapigania wapewe maslahi bora

Guvu moya 😀
 
Back
Top Bottom