Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Shwari tuHii simba vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shwari tuHii simba vipi?
ZinachelewaKwamba huzioni
Tuliza kisabengo topolokwinyo🗣️Come on Dodoma Jiji! 💪
Rekebisha Saa mjombaDakika ya 23 milango bado ni bila bila
Basi ni bila bilaZinachelewa
Tuliza mshono topoloNdugu zangu wa Simba mbona mmeukimbia Uzi wetu jamani?
Guvu moya 😀
😀😀 Sometimes local players wanazingua sanaHawa ndio wanafanya wachezaji wa ndani walipwe salary ya laki 5
Tulia wewe mfanyakazi wa Mwamedi. Huu mchezo hautaki hasira!Tuliza kisabengo topolokwinyo
Ndio maana nikawaambia topolo mtulize kisabengo.....Hapa hapawahusuTulia wewe mfanyakazi wa Mwamedi. Huu mchezo hautaki hasira!
We ndio uko nje ya mda mkuuRekebisha Saa mjomba
Topolo tuliza kalio chini....Wanaume wakiwa wamekaa Usipende kupitisha pitisha hizo kalio ..sawa!!!???Ila leo hata tupate sare tu si mbaya,ndugu zangu wanasimba tutengeneze timu ya msimu ujao
Guvu moya 😀