Yako ambayo ni nzuri ilitolewaje kwa mechi mbili tu?Hii timu ilifikaje robo? Ni ya hovyo sana
Kalale tu upumzikeSijaangalia mechi
Mahala ulipo ni usiku muda huu?Kalale tu upumzike
Tusubiri jumamosi mtajua hamjui.Simba Hali ngumu jamani,hizi sekunde za mwisho
Kamati haiwahusu mikia.Upumbavu tu huo,kamati ya 72 hrs inatakiwa ipitie lile tukio
ππππ ndo mmehamia huku tena?. Kolowizard mnatia huruma kwa kweli πππCha msingi george mpole kafunga baasi
Hii ya leo ilikuwa ni warmup tuHivi Hii Timu Ndo Ya Kutufunga Sisi Tar 28...Kweli Kabisa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Na huko pia tutahamaππππ ndo mmehamia huku tena?. Kolowizard mnatia huruma kwa kweli πππ
Kichapo cheni kiko pale pale siku hiyo. Yanga hajawahi kuwa na huruma na timu mbovu anapocheza kwenye uwanja wa Kirumba Mwanza.
Koh koh kohMnyama mkali Simba sc tafuna hao watoto wadogo Geita Gold.
SIMBA NGUVU MOJA