Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Majungu tuQueens fc
Kagera tena mkuu?Hii mechi nataka iishe simba 4 kagera 3
Hayo matatu ya kagera iwe ni hatrick
Kagera ama Geita?Hii mechi nataka iishe simba 4 Geita 3
Hayo matatu ya kagera iwe ni hatrick
Hilo ni jina lenu pia,labda kama hujui historia ya timu yakoMajungu tu
nimebadilisha chap sema umeniwahi tuKagera tena mkuu?
umesema kinyonge mwaisaMikia wamepata goli.......
Sawa 🐄 fcHilo ni jina lenu pia,labda kama hujui historia ya timu yako
Hebu soma ulicho ki reply hapo mkuuKagera ama Geita?
Ulitaka niwe na vibe Mwaisaumesema kinyonge mwaisa
Wasamehe bure,ule moto waliopelekewa si mchezoSimba wameunawa mpiara ndani ya 18 mara mbili nzima
Wewe mwenyewe hauko tayari kumuona George mpole akifunga tenaSimba wameunawa mpiara ndani ya 18 mara mbili nzima
Acha ubishi we mtoto wa 2000Sawa 🐄 fc
Roho za misahama mmezipata lini?Wasamehe bure,ule moto waliopelekewa si mchezo
Kagera tena Mzee........mbona mnachanganyikiwa mapemaHii mechi nataka iishe simba 4 Geita 3
Hayo matatu ya kagera iwe ni hatrick
Lipo mkuu,mkeka uko hai huo,mi tayari GG asubuhi tuNahitaji goli 1 tu niingize 84000