FT: Ligi Kuu Bara | Geita Gold FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba | Leo Mei 22, 2022

Sisi tunataka George afunge hata hat trick hatujali. Tunachotaka game iishe sare au mfungwe ili tutangaze ubingwa mapema tusichoshane.
 
Acha uoga wewe,subiri dawa yako inaandaliwa,tujue zile sare mmezipataje
 
Siuoni kabisa ule mpira wa Simba hata wakati ambao timu ilicheza chini ya kiwango
 
Kikosi cha Simba cha leo sijui kimeokotwa wapi simba hii eti ndio ichukue ubingwa waache yanga wabebe ndoo yao pale kati mipira aikai kabisa sijui wachezaji wa simba wamekula mlenda leo ni shida tu
 
Kwani baada ya mechi ya leo, Simba si achezi tena mpaka tarehe 28 ama ipoje?
 
Half time 1-1


Mikia kunyweni Panadol hii first hafu japo mmechomoa baada ya kuchomekwa ila Geita ilitakiwa wawe wanaongoza 2
 
Huyu jamaa mechi za Simba kaingia zote

Takwimu zinaonesha kocha Nabi kaingia kuangalia mechi nyingi za simba kuzidi wale mashabiki kindaki ndaki wa tawi la chalinze

Unajua kwasababu gani amekuwa interested sana na mechi za Simba

Ngoja nikupe sababu

Unakumbuka msimu unavyoanza alikuwa na mwanzo mgumu kila time timu yake ilikuwa inapoteza kila mechi

Nabi aliwekewa vikao nyomi kama ana solve msala wa kufilisi benki, nakumhuka moja ya utetezi wake alikuwa akisema hawa wachezaji mliosajili hawakuwa kwenye chaguo langu hivyo itanihitaji siku nyingi mpaka kuwaweka kwenye muunganiko

Club ikakosa subra mpaka kufikia hatua uongozi ukampa mechi mbili za mwisho ambazo kati ya hizo akipoteza basi wanaachana naye.

Mechi hizo mbili ilikuwa ni ile ya wale wa nigeria ambayo ilikuwa ni marudiano wakiwa ugenini ambapo walipasuka bao 2

Ikabaki moja ambayo ilikuwa ni derby

Sasa simba walijawa na huruma wakaona sio vyema jamaa apoteze kibarua wakaamua kumstiri kwa kumpa fursa afunge bao moja ili aendelee kusalia jangwani.

Tangu hapo jamaa amekuwa na mapenzi makubwa mno na club ya simba, na kuna siri moja nawatobolea leo muijue.

Huyu sio mechi tu, hata kwenye mazoezi ya simba huwa anaendaga

Afu sasa anavyomkubali bocco yani usipime, ile juzi alishindwa kudhibiti hisia zake, bocco alivyofunga ikabidi aruke na kuanza kushangilia.
 
Siuoni kabisa ule mpira wa Simba hata wakati ambao timu ilicheza chini ya kiwango
Dah mkuu acha tu Simba leo imecheza ushuzi mtupu vijna wa geita gold wanamiliki mipira mguuni vzur kabisa kocha aliangalie second half kinyume na apo vijana wa geita wanachukua point tatu leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…