Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kwanini historia kubwa yenye kubeba title ya jina la club ifichwe kwenye kitabu isiwekwe hadharani ambapo kwenye documentary za club zipo?
Picha ya samaki
Weka source ya kuaminika hapa nisome na sio blogu zakishambenga za kina divadinyoHaijafichwa wewe ndiyo huijui
Huyu jamaa mechi za Simba kaingia zote
Takwimu zinaonesha kocha Nabi kaingia kuangalia mechi nyingi za simba kuzidi wale mashabiki kindaki ndaki wa tawi la chalinze
Unajua kwasababu gani amekuwa interested sana na mechi za Simba
Ngoja nikupe sababu
Unakumbuka msimu unavyoanza alikuwa na mwanzo mgumu kila time timu yake ilikuwa inapoteza kila mechi
Nabi aliwekewa vikao nyomi kama ana solve msala wa kufilisi benki, nakumhuka moja ya utetezi wake alikuwa akisema hawa wachezaji mliosajili hawakuwa kwenye chaguo langu hivyo itanihitaji siku nyingi mpaka kuwaweka kwenye muunganiko
Club ikakosa subra mpaka kufikia hatua uongozi ukampa mechi mbili za mwisho ambazo kati ya hizo akipoteza basi wanaachana naye.
Mechi hizo mbili ilikuwa ni ile ya wale wa nigeria ambayo ilikuwa ni marudiano wakiwa ugenini ambapo walipasuka bao 2
Ikabaki moja ambayo ilikuwa ni derby
Sasa simba walijawa na huruma wakaona sio vyema jamaa apoteze kibarua wakaamua kumstiri kwa kumpa fursa afunge bao moja ili aendelee kusalia jangwani.
Tangu hapo jamaa amekuwa na mapenzi makubwa mno na club ya simba, na kuna siri moja nawatobolea leo muijue.
Huyu sio mechi tu, hata kwenye mazoezi ya simba huwa anaendaga
Afu sasa anavyomkubali bocco yani usipime, ile juzi alishindwa kudhibiti hisia zake, bocco alivyofunga ikabidi aruke na kuanza kushangilia.
Hata hiyo ndogo nayo sinaSikujua kama una akili ndogo hivi anyways nguvu moja
Weka source ya kuaminika hapa nisome na sio blogu zakishambenga za kina divadinyo
Hata hiyo ndogo nayo sina
Niwe na akili kwani mi mwanafunzi?
Mbona historia ya sunderland haihitaji kwenda kwa wakubwa?Nenda Msimbazi watakupa historia hiyo kijana wa 2000's,au waulize wakubwa wako watakwambia
Bad can sometime be good but worst is very really badToo bad for the game
Wana reserve nguvu kwa ajili ya tarehe 28Simba wasituletee ujinga ,kimataifa wametolewa halafu ligi wanacheza utumbo.
Halipo BossLipo mkuu,mkeka uko hai huo,mi tayari GG asubuhi tu
Jamani si ndiyo mlimuombea mpaka uraia huyu jamaa?hivi hakuna mbadala wa KIBU ..mipira mingi inapotolea kwake
Huyu si ndiyo mlituambia alikuwa Madrid? Au ni ile Madrid ya Kimanzichana...... anyway Kocha amekusikia Banda ameingiaToa Sackho ingiza Banda akimbize. Huyo kocha ni tatizo sana.
Yaani ni ajabu sana matukio matatu yote hayoKwamba marefa wamekatazwa timu pinzani na Simba kupewa penati?