FT: Ligi Kuu Bara | Geita Gold FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba | Leo Mei 22, 2022

rudisha CHAMA ...
hivi ni game ya pili simba inakosa mtu mbunifu ndani ya 18....BWALYA akikata pumzi badi wengine wanarukaruka tu.
labda yaje magoli ya piga ni kupige
 
Naona mechi ya pili mnacheza marede na refa anapiga kimya.
 
Kibu d anapewa nafasi ila haitendei haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…