Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Guvu moyaHeneck Enonga anapiga free header na kusawazisha
Viungo vyote vililala kabisa πAfadhali Inonga katuamsha
1-1Mbona nahisi raharaha tu, kumbe kishaachia kamoja π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Kagera shikilia hapohapo. Wajue huko si kwa kuchukua point.
KAGERAAAAAAAAAAAAAAAA
πππModerator tunaomba mfanye marekebisho hapo kwenye dashboard isomeke moya moya
Si moya moya ππNaona mna komenti kwa fujo
Mpira huuKurudisha ndio itakuwa mtihani
Ally RamadhaniGoli la kagera limefungwa na nani?
Ally RamadhaniGoli la kagera limefungwa na nani?
Wa kwanza wa kwanza tu. Hapa aliyefungwa ni mikia ππππ
Kam baki πPigeni comeback
Kumbe kushikishwa,chezeni mpiraKuna mtu alishikishwa hapa mpira lakini refa kapeta
Hizo nongwa sasaWa kwanza wa kwanza tu. Hapa aliyefungwa ni mikia ππππ