Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Mbona nahisi raharaha tu, kumbe kishaachia kamoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kagera shikilia hapohapo. Wajue huko si kwa kuchukua point.
KAGERAAAAAAAAAAAAAAAA
KAGERAAAAAAAAAAAAAAAA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Guvu moyaHeneck Enonga anapiga free header na kusawazisha
Viungo vyote vililala kabisa 😀Afadhali Inonga katuamsha
1-1Mbona nahisi raharaha tu, kumbe kishaachia kamoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kagera shikilia hapohapo. Wajue huko si kwa kuchukua point.
KAGERAAAAAAAAAAAAAAAA
😀😀😀Moderator tunaomba mfanye marekebisho hapo kwenye dashboard isomeke moya moya
Si moya moya 😀😀Naona mna komenti kwa fujo
Mpira huuKurudisha ndio itakuwa mtihani
Ally RamadhaniGoli la kagera limefungwa na nani?
Ally RamadhaniGoli la kagera limefungwa na nani?
Wa kwanza wa kwanza tu. Hapa aliyefungwa ni mikia 😛😛😛😛
Kam baki 😀Pigeni comeback
Kumbe kushikishwa,chezeni mpiraKuna mtu alishikishwa hapa mpira lakini refa kapeta
Hizo nongwa sasaWa kwanza wa kwanza tu. Hapa aliyefungwa ni mikia 😛😛😛😛