Hii game simba hapindui, ni droo hii game.Mungu ibariki KMC, hawa mapunda kolo wafungwe nyingi sana na KMC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii game simba hapindui, ni droo hii game.Mungu ibariki KMC, hawa mapunda kolo wafungwe nyingi sana na KMC
Kwani ameshatangazwa mshindi?
Hamna cha kutangazwa tayari matokeo yameshajionyesha pale...huyo usiemtaka ndo mshindiKwani ameshatangazwa mshindi?
Atakapo tangazwa tu, nitawasiliana mara moja na mwanasheria wangu mbobevu na mwandishi nguli wa habari ndugu Pascal Mayalla, ili nione athari zitakazo jitokeza baada tu ya mimi Tate Mkuu kuhamia jukwaa la MMU.
Na kama atanisbauri niendelee kubaki huku, basi sitakuwa na namna nyingine.
Huko alikotoka mbona alikuwa anamalizaKweli kabisaView attachment 2458766
Kwa hiyo na wewe umekubali matokeo hata kabla ya mshindi kutangazwa!!Hamna cha kutangazwa tayari matokeo yameshajionyesha pale...huyo usiemtaka ndo mshindi