FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

Tunune kisa mla ngada kamfunga Ruvu? Tunune kisa unaongoza ligi huku Yanga ikiwa na games 2 mkononi? Si utakuwa ukichaa huo.
Kwa hiyo wewe ni utopolo pekee? Wewe kama unafuraha ila utopolo mwenzio Mkwasa kanuna, hiyo ni furaha.
 
Hakuna lenye utata, lakini hiyo haimaanishi kwamba hakuna magoli controversial ambayo yanafungwa
Hayo magoli controversial ni kwa ligi nzima kiujumla hao wanaoshutumiwa kutembeza bahasha tu
 
Hakuna lenye utata, lakini hiyo haimaanishi kwamba hakuna magoli controversial ambayo yanafungwa
Hayo magoli controversial ni kwa ligi nzima kiujumla hao wanaoshutumiwa kutembeza bahasha tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…