FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

Tunune kisa mla ngada kamfunga Ruvu? Tunune kisa unaongoza ligi huku Yanga ikiwa na games 2 mkononi? Si utakuwa ukichaa huo.
Kwa hiyo wewe ni utopolo pekee? Wewe kama unafuraha ila utopolo mwenzio Mkwasa kanuna, hiyo ni furaha.
 
Le kaputeiniiiiii
IMG-20221119-WA0016.jpg
IMG-20221119-WA0016.jpg

Mtani kumbe kulikuwa na maagizo na hutuambia jamani toka Kwa Boss kubwa
 
Hakuna lenye utata, lakini hiyo haimaanishi kwamba hakuna magoli controversial ambayo yanafungwa
Hayo magoli controversial ni kwa ligi nzima kiujumla hao wanaoshutumiwa kutembeza bahasha tu?
 
Back
Top Bottom