SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Tunune kisa mla ngada kamfunga Ruvu? Tunune kisa unaongoza ligi huku Yanga ikiwa na games 2 mkononi? Si utakuwa ukichaa huo.Furaha ni kuona utopolo amenuna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunune kisa mla ngada kamfunga Ruvu? Tunune kisa unaongoza ligi huku Yanga ikiwa na games 2 mkononi? Si utakuwa ukichaa huo.Furaha ni kuona utopolo amenuna
Kwa hiyo wewe ni utopolo pekee? Wewe kama unafuraha ila utopolo mwenzio Mkwasa kanuna, hiyo ni furaha.Tunune kisa mla ngada kamfunga Ruvu? Tunune kisa unaongoza ligi huku Yanga ikiwa na games 2 mkononi? Si utakuwa ukichaa huo.
Kweli bora uvute bange kuliko madawa.Kwa hiyo wewe ni utopolo pekee? Wewe kama unafuraha ila utopolo mwenzio Mkwasa kanuna, hiyo ni furaha.
Kumbuka utopolo iliwahi kukodishwa na mtumiaji wa madawa.Kweli bora uvute bange kuliko madawa.
Mzee baba, enjoy while it lasts, keshokutwa utarudi unapostahili muanzishe threads za malalamiko as usual.Kumbuka utopolo iliwahi kukodishwa na mtumiaji wa madawa.
Sawa unbeaten wa mchongo.Mzee baba, enjoy while it lasts, keshokutwa utarudi unapostahili muanzishe threads za malalamiko as usual.
Katika hiz michongo na wewe upo mara tatu, unarukaruka tu.Sawa unbeaten wa mchongo.
Hayajielewi haya MAKOLOKatika hiz michongo na wewe upo mara tatu, unarukaruka tu.
Anasakizia wengine waifunge Yanga na wakati amecheza nayo mara tatu kashindwa kuiondoa hiyo unbeaten ya mchongo.Hayajielewi haya MAKOLO
Litimu Chama asipokuwepo uwanjani linakuwa butu,...Anasakizia wengine waifunge Yanga na wakati amecheza nayo mara tatu kashindwa kuiondoa hiyo unbeaten ya mchongo.
Ila Madeni ya 4G na 5G hayajalipwa na hayatalipwaKatika hiz michongo na wewe upo mara tatu, unarukaruka tu.
Hayo magoli controversial ni kwa ligi nzima kiujumla hao wanaoshutumiwa kutembeza bahasha tuHakuna lenye utata, lakini hiyo haimaanishi kwamba hakuna magoli controversial ambayo yanafungwa
Hayo magoli controversial ni kwa ligi nzima kiujumla hao wanaoshutumiwa kutembeza bahasha tu?Hakuna lenye utata, lakini hiyo haimaanishi kwamba hakuna magoli controversial ambayo yanafungwa
Tukishinda sisi mnasema tumekutana na vibondeMkishinda huwa mnafurahi kweli! Ila ikishinda Yanga, mtaanzisha hata nyuzi 10 za fixed match!! Aisee mnahitaji maombi. Maana hamjielewi.
Jamaa anajua mpaka anajua tena 🤣Pep mnene tumuongezee mkataba
Guvu moya 😀
😀😀😀Jamaa anajua mpaka anajua tena 🤣